Burudani

Burudani
msanii CBM Prezzo kuwasindikiza  Redds miss Geita jumamosi tarehe 21 june 2014


msanii wa muziki wa kizazi kipya "Prezzo" kutoka nchini kenya anatajiwa kuwasindikiza warembo watakaoshiriki kinyang'anyiro cha Redd's Miss Geita 2014.

warembo watakaoshiriki kinyang'anyiro cha kumtafuta Miss Geita 2014.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni