Alhamisi, 18 Juni 2015

WAANDISHI GEITA WALALAMIKIA KUFANYA MAFUNZO YA MTANDAO PASIPO NA MTANDAO

NA VICTOR BARIETY,GEITA KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida,waandishi wa habari wa mkoa wa Geita wamelazimika kufanya mafunzo kwa njia ya mtandao huku kompyuta zao zikiwa hazina mtandao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni